FURAHIKA EDUCATION COLLEGE TANZANIA

FURAHIKA EDUCATION COLLEGE TANZANIA

Chuo kinakaribisha wanafunzi kusoma bure, lengo ni kuunga mkono jitihada za Mh. Rais Samia Suluhu Hasan ya Elimu bure, hivyo mashirika na watu mbali mbali wanakaribishwa kuleta wanafunzi na taasisi ama mashirika yenye namna ya kusaidia taasisi yetu wanakaribishwa pia, ili kuwanuia watoto wa kike kupata elimu iliyo bora.

kozi tunazotoa

Ufundi Umeme

Ushonaji

Komputer

Udereva

Upambaji

Kilimo

Marketing officer

Poker meet digital, Secretary courses, Ufugaji wa Samaki, Elimu ya Mazingira, Uwalmu wa Chekechea, Makeup. Ushonaji , Computer, Upambaji na Ususi, Hotel Management, English Course, Social workout guiding, Masijala, Ufugaji wa Kuku, Taxation, Course za Uwalimu wa Chekechea.

Kumbuka mitihani ufanyika katika chuo Cha Mantisoul Msimbazi center...

ziara za mafunzo

Pamoja na masomo ya darasani, wanafunzi pia ufanya ziara mbali mbali za mafunzo kwa lengo la kuongeza ujuzi na kujifunza kwa vitendo

MAAFARI YETU

Mpango mkakati wetu mwaka 2021 to 2023

FURAHIKA EDUCATION MALENGO 2021' with you

DARASA LA MUZIKI

Chuo chetu kinatoa darasa maalum la muziki...

WAHITIMU

Chuo hiki kinatoa mafunzo bure, kupitia mafunzo tunayotoa tumefanikiwa kuzalisha wahitimu wapya, ambao wameweza kujiajiri na kutengeneza ajira nyingi kupitia marifa na ujuzi walio upata chuoni.